kuna watu hiyo hofu wanaitengeneza kwa maslahi yao binafsi. walianza na kusema kuwa serikali inawapendelea waislam, baadaye wakazusha kuwa kuna waislam wametoka somalia kuwadhuru wakristo siku ya pasaka. hawa watu wajinga mno
Pia Mungu alisema"Msifadhaike wala msiogope vita hampigani ninyi vita ni vyangu."Msiofu wapendwa ktk kristo tuliyenaye ni mkuu kuliko wao,just bellive.
Jimamosi kuu huku kwetu hatusali usiku, tunasali jioni na misa iishe kabla jua halijazama kwa hofu
nyekundu ina mantiki kuu.
nashukuru kwa kuniita mpuuzi. ila mie nimewadokeza tu kampango ambako nimesikia wahusika wakipanga kutaka kupost kwenye jf na mitandao mingine. pia nimesikia waliposema kuwa wanataka hofu ya magaidi itawale kwenye makanisa ili suala la lwakatare lisijadiliwe kwenye public na kwenye mitandao ya kijamii
Jimamosi kuu huku kwetu hatusali usiku, tunasali jioni na misa iishe kabla jua halijazama kwa hofu
Wasiwe na hofu mtuhumiwa wa ugaidi nchini ambaye ni kiongozi wa CHADEMA bwana LWAKATARE bado yupo kizuizini.
ludo + lwaka. ndiyo utambulisho wa magaidi wa tanzania
watu wachoyo naona wameanza kutuingilia watanzania ili tusishirikiane. walianza kuja na hoja ya wakristo wawe na mabucha yao na wajichinjie kitoweo, walivyoshambuliwa wamekuja na hoja ya ugaidi ili waislam na wakristo wasishirikiane kusherehekea pasaka. pumbavu. mbona miaka yote tulikuwa watulivu?
yes haya mambo yanatengenezwa makusudi.kuna sms za simu za uchochezi huwa zinasambazwa hivi hata hili mamlaka hailioni na kuwafuatilia wanaotuma hizo sms.
Unatumika vibaya...jionee aibu mileleludo + lwaka. ndiyo utambulisho wa magaidi wa tanzania
Tuombe na kufunga kuliombea taifa letu, hata ambao si wakristo wafanye hivyo.
Suala sio kuwajaribu,Wakristo tunaamini kuwa vita vyetu sio vya damu wala nyama ni juu ya wafalme wa anga na wakuu wa giza.Na ninyi mnaamini kuwa maadui zenu ni wakristo.Je hapo unategemea mkristo atawa-try pamoja na wingi wao?