Bravo H
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 221
- 87
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani ana mambo muhimu ya kufanya hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu - yaani uwe na wasiwasi na chama ambacho hakina hata kiongozi mmoja wa mtaa nchi nzima!! maajabu.
Mwacheni kijana ahangaike akichoka atakaa kama walivyokwisha kaa wengine!! Siasa za nchi hii si za kuingilia kichwa kichwa - angepata ushauri toka kwa kina Lamwai and the like!!
Nani amekuambia ACT aina viongozi wa mtaa wanaviti kigoma na mpanda