AibuView attachment 2771374
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.
"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
Oh na inasemekana Paris kunguni wameletwa na blacks from West Africa😂😂Ndio, chawa anadhibitika kwa usafi ila kunguni huwezi mdhibiti hvo, unaweza ukawa msafi sana ila ukapata mgeni akaja na kunguni, ndo tayari hyo, mpaka utumia dawa kuwaangamiza la sivo watazaana mpaka, na usafi wako, chezea kunguni wewe.
Yeah hata mimi hivi ndivyo nilivyokuwa najua. Ila kunguni dah, akikung'ata anaacha alama alafu haifutiki mapema😄chawa anapenda mazingira yenye jotojoto la kiumbe anayeishi nae japo wakati mwingine alipo kunguni na chawa yupo
Kuna wamatumbi waliohamia toka west Afrika ndio wamezileta hapo UfaransaBasi waafrika/watu weusi wanaoishi France watahusishwa!
Hapana ,Ni kwamba serikali za miji mingi zipo kwenye ukata wa kifedha so wamepunguza budget za public sanitation kwenye miji ,so kuna tatizo la uchafu kwenye miji mingi Ulaya na Marekani .Na kweli,nimeona vyombo vya habari wale matianalist wamehusha immigrants ndo wameleta kunguni.Maana waafrica wanakuja kwa Boti kwenye mazingira machafu.
wanawazingizia tu, wazungu wachafu sana.Oh na inasemekana Paris kunguni wameletwa na blacks from West Africa
Hadi USA kwa Biden wapo kuna jimbo waliwahi weka mikakati kama hii ya Ufaransa kupambana nao...Kumbe kunguni zipo hadi ulaya 😂
1. Kunguni hukaa sehemu isiyo na hewa safi ya kutosha na huzaliana kwa wingi wa ajabuKunguni hakai sehemu chafu tu
We humjui huyo mdudu akiingia ameingia.
Hata ikulu anaishi na anatamba vizuri
Mwalim gan sasa hujui kuwa magonjwa yote ya mlipuko yanmeanzia huko.kunbuka the black plague, huko ulay ndio watu walikua wanaua vikongwe kwa tuhuma za uchaw ykiinekana nna macho mekund ummeenda.refer kitu inaitwa purgeKumbe kunguni zipo hadi ulaya [emoji23]
Kunguni huwa wanaletwa na watu ata uwe msafi vipi mtu akiwabeba nyumbani kwako wakazaliana ndio wanakua wameingia hapo kuwamaliza ni mtitiwazungu wachafu sana hawajali usafi