Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
kuna binti mmoja kwa jina Lusanji(aka hiyo) kutoka Arusha amekua katika mahusiano ya kimapenzi na kijana kwa muda mrefu sasa.Bahati nzuri wote wamepata nafasi za kwenda kusoma elimu ya juu ila vyuo ni tofauti.Kijana kwakua amekolea kwa Lusanji,amemtaka afnye ile kitu inaitwa kifunga uchumba(Engagement) kabisa kabla ya kwenda masomoni ili kuendelea nakulidumisha penzi la wawili hawa.
Sasa kazi iko kwa Lusanji.
Anajiuliza:Je,aingie katika hiyo strong commitment ama la?maana mazingira ya vyuo yanajulikana na hasa ukizingatia kuna aina tofauti ya watu atakao kutana nao mpenzi wake huko aendako ,kwaweza mbadilisha mawazo akajikuta kaachwa kwenye kona kali.
Je wewe unamshauri nini ?
Naomba kuwasilisha.