Hofu na mashaka...!!

...duuuh, pole sana,

anyway...mwanamke anayejirahisi hivyo eti yu tayari kumfanyia visa mw'ume wake ili umchukue wewe, ni 'bomu' la kutega!

Au la kurusha kwa mkono kabisa! hahaha
 
ahahahahah wanatafunwa na meno kikweli nini???? hiyo mabibo siku nitkayokuja dar lazima niipitie kuiona tu!! very famous hapa JF...hivi wengi wenu mmepitia pale nini kutafuta vitafunio???? te te te te

Mie nilisikia kuwa VIGOGO wa nchi walikuwa wanakwenda kucheza pale mpira jioni na wakimaliza mechi wanaingia kwenye bweni kuoga.... ahhhh samahani KUOGESHWA.

Nasikia hapo wenye bahati walikuwa wanaoga mara mbili ahh kuogeshwa!!! Yaani baada ya mechi A na wakimaliza mechi B...... na hapo hurudi makwao.
Wahi na wewe ukafaidi ma CDs. Ila angalia unaweza wewe na pesa yako ukanunua mengi........ Utapita tu..... mhhhhh, mie pale hata kupita sipiti.
 
Niliona wakati wanajenga kipindi cha early 2000s sasa kama mambo yenyewe ndio hayo mbona balaa? Au wajenge halls of residence kule kule mlimani labda wakikaa mbali na watu wataacha tabia za kimtaani sana.
 
Uchumba ni ahadi ya kufunga ndoa siku za mbele. Ni kipindi cha kufahamiana kati ya wachumba kwa mema na makasoro aliyonayo mwenzake ili baadaye siku ya masiku waweze kufunga pingu za maisha. Na pete ya ucumba ni ishara wazi/ ya nje ya kuonesha na kumkumbusha mchumba kuwa ana mtu wake.

Kwa kuwa uchumba si ndoa bali ni ahadi ya ndoa sioni kwa nini Lusanji anasita kuidhinisha rasmi uchumba huo na kijana wake kwa kuivishana pete ya uchumba. Ikiwa mbeleni mambo yatashindikana basi itabidi wafuate mkondo tofauti.

Lakini naona faida ya kuidhinisha uchumba kwa sasa ni kubwa zaidi kuliko hasara. Kwa kuidhinisha uchumba na kuivishana pete daima popote watakapokuwa itawakumbusha kwamba wao ni "mali" ya mwingine. Kumbe hii inawaamshia uthabiti na nia imara ya kuhimili vishawishi kwa sababu kila mmoja atakuwa anakumbuka ahadi aliyo nayo kwa mwenzake, yaani kuwa mwaminifu na kujiheshimu. Umbali kati yao na kutoonana mara kwa mara kitakuwa kipimo kikubwa cha seriousness ya kila mmojawao.

Kumbe kama wanapendana kikweli, Lusanji asiogope. Na kama anamfahamu mwenzake vizuri hana sababu kubwa ya kutokumwamini. Japo mi ninavyoona hii stori inaonekana Lusanji ndo hajiamini, lakini kule kutokujiamini kwake anakutupia kwa mwenzake. Lusanji ndo mwenye matatizo. Bado yuko safarini, hajafika kwenye kituo cha moyo wake. Kwa lugha nyingine hajaridhika na ijana. Bado anatafuta kijana aliye bora zaidi kwa kipimo chake Lusanji. Atulie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom