Enyi watu wa Arusha mjini msifanye makosa kumchagua Lema, mchagueni Philemon Olais Mollel wana Arusha kamwe hamtojuta.
Tunapata muda mzuri sana wa kuzalisha mali. Lema ye kutwa na maandamano na mabomu tu.
Lema mzee wa maandamano, shauri yenu mtakosa kuingiza fedha kwa maandamano.
Lema asidhani kwamba kwa chadema kushinda kata 24 ndio kigezo cha yeye kukubalika.
JIMBO LINARUDI CCM
Uchumi wenu ukoje kulinganisha na Arusha?
Wajinga ndio waliwao. Kuongozwa na Lema ndio ujinga wa mwisho duniani, lema hilo ndilo lijinga, JIZI na Nazi Koroma lilopata bahati ya waongoza watu . Duh poleni Arusha kwa uzembe wa hali ya juu sana. Chagueni hata FISI shauri yenu na wala hamtayazuia mabadiliko halisi, nyinyi mtabaki mnatumiwa tuu kama ..........................
hizi story peleka chalinze.

uchumi wa chalinze au?
We unajiita mchambuzi sijui unachambua nini wakati kichwa chako hewa tupu.
nauchambua umslopogazi uliokuingia.
punguza jazba, tulia dawa ikuingie.
Na we legeza ta.k.o sindano isivunjike.