Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Arusha mkipata hata robo ya kura zetu tuna wazawadia kiti maalum cha udiwani...
Kwani chadema ni chama cha ukanda??
Arusha mkipata hata robo ya kura zetu tuna wazawadia kiti maalum cha udiwani...
Ktkt bandiko lako naona ukweli ktkt eneo flani nalo ni hili kwa marudio haya ukawa wakipata sana labda kiti kimoja au viwili na si zaidi,
Sababu sio kwamba ni utendaji kazi wa raisi mpya
Raisi anafanya vizuri anastahili pongezi.
Kitakachowaangusha ukawa ni kukata tamaa kwa wananchi wengi wamepoteza imani na ukawa kwani waliwaambia mwaka huu watalinda kura zao za uraisi hazitaibiwa,
Wananchi wasiwe na wasiwasi mwisho wa siku wamelalamika kuibiwa kura.
Watawahakikishia vipi kwamba kwamba watazilinda kura zao ikiwa zingine wameshindwa kuzilinda.
Na hali hii ya kukata tamaa sio uchaguzi huu tu hata 2020 lazima ukawa iwagharimu.
Arusha wamejipanga, Lema ataisoma namba. Maajabu yanakuja, mjasiria mali Monaban anachukua kiti cha ubunge Arusha mjini. Subiri mwone. Hapakazitu.
magufuli amefanya nini cha maana? Ziara za kisanii za kushtukiza hata kikwete alizifanya sana? Viwanda alivyoahidi viko wapi? Hana tofauti na alieondoka usanii mtupu
magufuli amefanya nini cha maana? Ziara za kisanii za kushtukiza hata kikwete alizifanya sana? Viwanda alivyoahidi viko wapi? Hana tofauti na alieondoka usanii mtupu
kama kuna mpu...mba ...vu na mjinga na lofa wa kutupwa ni.wewe. Naona hata shule ulifeli. Mtu hajaenda chooni, wala hajanya wewe unamfuta si ukichaa. Unamhukumu mtu kwa kazi hajafanya. Hiyo chuki yako itakumaliza. Hata lowassa aliyepoteza ma bilioni yake hana maumivu kama ulionayo. Jirudi na ujihurumie.
Anaechaguliwa ni rais au mbunge?
Enyi watu Wa Arusha mjini msifanye makosa kumchagua Lema, mchagueni Philemon Olais Mollel wana Arusha kamwe hamtojuta
kama kuna mpu...mba ...vu na mjinga na lofa wa kutupwa ni.wewe. Naona hata shule ulifeli. Mtu hajaenda hajanya wewe unamfuta si ukichaa. Unamhukumu mtu kwa kazi hajafanya. Hiyo chuki yako itakumaliza. Hata lowassa aliyepoteza ma bilioni yake hana maumivu kama ulionayo. Jirudi na ujihurumie.
Enyi watu wa Arusha mjini msije fanya makosa ya kuchagua gamba! Lema anatosha kamwe hamtojuta!
Lema mzee wa maandamano, shauri yenu mtakosa kuingiza fedha kwa maandamano.
Wewe huko kwenu kusiko na maandamano mnapata fedha? Acha kukariri ujinga wewe.