Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 126
- 210
NIKARIBISHENI
Usikute ndio huyo huyo
nimemuona ila hataki tum connect na ndugu zake wa karibu😅😅😅
Kwa leo tumekaribisha wa kutosha!
karibu jukwaani chizi ukutane na wenzako 🐒NIKARIBISHENI
Haswaaaani nani tena loooh,, hii wiki ya wageni eeh 😅😅
Akaribie sana. Sasa JF ni nyumbani kwake 💪.