J jfnewuser Member Sep 26, 2011 6 0 Sep 26, 2011 #1 Jamani natumaini mu wazima kabisa. Naomba nipige hodi rasmi katika mkeka huu adhimu. Niko pamoja nanyi na ninawapenda sana.
Jamani natumaini mu wazima kabisa. Naomba nipige hodi rasmi katika mkeka huu adhimu. Niko pamoja nanyi na ninawapenda sana.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Sep 26, 2011 #8 karibu sana soma sheria zetu hapa.........JamiiForums Disclaimer and Rules
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Sep 26, 2011 #13 karibu sana naona katavi kisha kupa muongozo..