Hivi ndugu yangu sikonge upo mbona kimya mimi kwa sasa nipo Sikonge mjini Asali kwa wingi na uyoga lakini pia natumia frusa hii kumkaribisha huyo ndugu yetu Nyamizi karibu saana
Sikonge umeme wa mgao utatumailza safari hii,tatizo ni pale unapotaka kuingia kijiweni unakuta Idrissa kachukua umeme wake.Pengine mimi ndio shangazi mwenyewe,nikikwambia jina langu jingine ni Mageni,bado hujahakikisha tu.