Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,250
- 1,285
karibu Sana Drhello Mgeni
karibu Sana Drhello Mgeni
NAMBA YA SIMU PLS.hello Mgeni
ulimakafu ndo idara yako hiiNAMBA YA SIMU PLS.
Yeessss.........sina mambo mengi mie nimewaacha na akina Bia Yetu....ulimakafu ndo idara yako hii
😅😅 na kweli hii idara unaipenda nakuona mara nyingiYeessss.........sina mambo mengi mie nimewaacha na akina Bia Yetu....
Eti karibu MY.. Sijui kwa nini nimecheka..
Ninga acha kusumbua mgeniTunazungumzia Camera
Mgeni umekuja tuu nakubold juuhello Mgeni
Nilikuwa nataka kumuona kama ni mtu mwenye hasira,kumbe mstaarabu hivi,sirudii tena.Ninga acha kusumbua mgeni
Mi sijasema lakini,kama siku ya kwanza kajua hadi kureply na kuweka viimoji.Mgeni umekuja tuu nakubold juu
Wakat Kum Expert Members hawajui kubold maandishi, Unatia mashaka
Unatumia App Au Browser?
Sent using Jamii Forums mobile app