Hodiii

Hodiii

TORABORA

Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
54
Reaction score
5
Heshima mbele WAKUU. Naingia jamvini nlkitokea katika yale mapango ya AFGHANISTAN. Niko hoi na mabomu ya NATO. Mnipokee jamani.
 
Pole na mabovu hapa ni mahali pa kuponya majeraha. Karibu sana.
Likasu
 
Karibu gerezani, naona tayari una pingu za PAW
 
Back
Top Bottom