i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 #1 hi wana JF, kwa mara ya kwanza najitokeza, nipo hai, km huamini onyesha mwili wangu nikwa nimeuawa.
i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 Thread starter #2 by the way, nabisha hodi ndani ya JF tushindane kwa hoja bila matusi wala kejeli, nilijifunza kiswahili hapa hapa bongo, msishangae muarabu kuandika kiswahili cha kisela.
by the way, nabisha hodi ndani ya JF tushindane kwa hoja bila matusi wala kejeli, nilijifunza kiswahili hapa hapa bongo, msishangae muarabu kuandika kiswahili cha kisela.
Mpevu JF-Expert Member Nov 23, 2010 1,805 173 May 3, 2011 #3 Lol ha ha haaaa!! Karibu sn jamvini, usitumwagie tu upupu wa mtandaoni.
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 May 3, 2011 #4 karibu osama,hafi mtu hapa, Tz waarabu wako wengi wakikuuliza waambie kwenu Tabora..lol
Blaki Womani JF-Expert Member Feb 28, 2011 11,229 13,431 May 3, 2011 #5 Ngoja nikawaambie Wamarekani upo hapa
i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 Thread starter #6 Blaki Womani said: Ngoja nikawaambie Wamarekani upo hapa Click to expand... mbona unaniogopesha black woman? ntakimbia ohooo....!! kumbe hujui zangu za kusepa kila nikiona noma.
Blaki Womani said: Ngoja nikawaambie Wamarekani upo hapa Click to expand... mbona unaniogopesha black woman? ntakimbia ohooo....!! kumbe hujui zangu za kusepa kila nikiona noma.
i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 Thread starter #7 Washawasha said: karibu osama,hafi mtu hapa, Tz waarabu wako wengi wakikuuliza waambie kwenu Tabora..lol Click to expand... teh teh teh teh!! hata tanga wapo, ujiji wapo, singida wapo, morogoro wapo, nashanga....
Washawasha said: karibu osama,hafi mtu hapa, Tz waarabu wako wengi wakikuuliza waambie kwenu Tabora..lol Click to expand... teh teh teh teh!! hata tanga wapo, ujiji wapo, singida wapo, morogoro wapo, nashanga....
i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 Thread starter #9 Ulimakafu said: Karibu sana... Click to expand... mkuu asante
Blaki Womani JF-Expert Member Feb 28, 2011 11,229 13,431 May 3, 2011 #10 Wametoa zawadi ya 5BL atakaye mpeleka hai jiandae
i'm osama Member May 3, 2011 13 1 May 3, 2011 Thread starter #11 blaki womani said: wametoa zawadi ya 5bl atakaye mpeleka hai jiandae Click to expand... teh teh teh!! hunipati ng'oooo.........
blaki womani said: wametoa zawadi ya 5bl atakaye mpeleka hai jiandae Click to expand... teh teh teh!! hunipati ng'oooo.........
Sigma JF-Expert Member Feb 26, 2011 5,006 1,254 May 3, 2011 #12 umefufukia baharini? au ndo umegeuka chunusi, bahati nzuri JF haibagui, njoo tu.
IGWE JF-Expert Member Feb 3, 2011 9,463 7,387 May 3, 2011 #13 karibu sana,naomba unifundishe mbinu ya ugaidi,...........
Mshume Kiyate JF-Expert Member Feb 27, 2011 6,766 894 May 3, 2011 #14 Karibu sana Osama nasikia walikuuwa usiku wakakuzika asubuhi baharini lakini yote hayo wamefanya kwa siri
Karibu sana Osama nasikia walikuuwa usiku wakakuzika asubuhi baharini lakini yote hayo wamefanya kwa siri
beatrixmgittu Senior Member Dec 21, 2010 113 6 May 4, 2011 #16 Karibu ila...................??????????????:israel::israel: