Hodiii...!

Hodiii...!

Chuma Chakavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,523
Reaction score
655
Heshima zenu wanajamii!!, nimeamua kujumuika pamoja nanyi baada ya kuwa observer kwa muda mrefu, nimelisoma game na sasa tuwe pamoko katika libeneke.

natanguliza shukrani
 
Karib bana , mimi naitwa klorokwini, nimeowa hapahapa JF.
 
thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu!
 
Avatar yako inanitisha na ujio wako, ni ishara ionyeshayo UMEKUJAJE.
By da wy...Karibu sana.
 
thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu!

Una kasi kweli jombaaa,karibu sana ila duh hiyo avatar ni nomaaaaa
 
Back
Top Bottom