Hodiii wana jamii forum...

Hodiii wana jamii forum...

NG'ONG'ONHWI

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
31
Reaction score
3
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,,
pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI??
Ahsanteni.
 
unaingia na kujua kwiiiingi.
mlango haufungwi kinachofungwa ni kitasa au komeo.
 
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,,
pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI??
Ahsanteni.

Karibu sana mdau humu jamvini.Awali ya yote pita uwani upakuliwe pilau ili ushibe kabla ya kuanza kuingiza posts zako.
Mlango hufungwa wakati wowote.
 
mkupuo ahsante kwa pilau lakini huwa situmii.umekosa mlango huwa haufungwi wakat wowote jarbu tena.
 
upo juu sana shof utanisaidia kuwaambia wadau wengine pia..kijiswal kdogoooo kama nini.
 
Back
Top Bottom