Hodiii, mwanamke komando nimeingia JF

Hodiii, mwanamke komando nimeingia JF

Jamani it feels so great to be a member of this forum...

We mwanamke, mbona unakuja kwa kishindo, tutakuhimili kweli. Nina wasiwasi kama wewe ni mwanamke kweli au fix tu. Ngoja niwaachie wajuaji wakukakaribishe
 
Karibu mshiki! Hujatuambia huo ukomandoo ni wa fani ipi1
 
Haya mwaya!karibu mgeni mwenzangu maana hii dunia kwetu ni mpya sana tena bora wewe komandoo utaweza kuhimili vishindo sa sijui mimi sungusungu itakuwaje!!
 
karibu sana lakini humu tunashinda kwa hoja sio kwa ukomandoo..
 
comandoo wa kike karibu sana.je ukomandoo wako ni wambele hightable au nyuma?mia
 
Mmh! makomando tena? Kazi kweli kweli. Ok, Karibu sana komando.
 
Back
Top Bottom