beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
Mh kama hii nikidogo hayo makubwa sijui yatakuaje
Hamna baana usiogope
Mh kama hii nikidogo hayo makubwa sijui yatakuaje
Nilikua sijui jinsia zao musije nipa bun naugeni wanguKaribu ukakae paleee acha kupiga story na wake za watu. Au unataka ban au burn?
Hamna baana usiogope
ikopenda veve hii jukwaa la siasa
Nilikua sijui jinsia zao musije nipa bun naugeni wangu
Ulikuwa unataka kusema Ban,Burn, Burst au Bunduki?
Au hiyohiyo Bun?
Ooooh iko pata shida sana huko nzuri sana mekuja hapa cc . Hahaaa duh hii lafudhi ni nouuumerSiasa chosha mimi sana kilasiku lazima kasirika siasa chezo chafu sana
Ooooh iko pata shida sana huko nzuri sana mekuja hapa cc . Hahaaa duh hii lafudhi ni nouuumer
ulikuwa unataka kusema ban,burn, burst au bunduki?
Au hiyohiyo bun?
haha! Haha! Haha! Haha! Kwi kwi kwi teh! Teh! Teh! Teh! Nadhani alikusudia kusema bunduki.
merudi mkiva bado upo?
haha! Haha! Haha! Haha! Kwi kwi kwi teh! Teh! Teh! Teh! Nadhani alikusudia kusema bunduki.
Hata nami nadhani.