mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 618
- Thread starter
- #21
Si unajua tena bado X zangu zinanifukuzia?
Afu akikumbuka gharama ya harusi na mahari aliyotoa,
lazima ajihami.
Haha mumenifanya nicheke watu wanawivu balaaaaaaaa
Si unajua tena bado X zangu zinanifukuzia?
Afu akikumbuka gharama ya harusi na mahari aliyotoa,
lazima ajihami.
Haha mumenifanya nicheke watu wanawivu balaaaaaaaa
teh! teh! teh! teh! teh!
:spy::spy::spy:
we huna wivu?
mgeni mgeni mgeni mgeni mkiva weweee karibu
Kwabahati mbaya walishanitenda sinatatena wakumuonea wivu kwasasa lol
Nashukuru nafurahi wenyeji wakarimu sanaaaa
But remember mi ni mke wa judgement
Hhaahhaaahaah dada umeonahUmepania kweli kuja ChitChat.
Nashukuru nafurahi wenyeji wakarimu sanaaaa
Dada hapa kama spactacus blood n sandMdogo wangu,
Mbona wajihami tena?
Hhaahhaaahaah dada umeonah
HahaaaaNimeona,
maana dah!
Hadi anaongea kikwao.
Hahaaaa
But remember mi ni mke wa judgement
Nimeona,
maana dah!
Hadi anaongea kikwao.
Dada hapa kama spactacus blood n sand
hujakutana na Kongosho bado?...kama huyo akionesha ukarimu basi ujue umekubalika
Hhaahhaaahaah dada umeonah
Umeonae tena nahsi nimechelewa kufika usafiri ulikua mgumu.kule nilikotoka panahitaji watu wenye sura kama ya pinda