Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 6,995
Nimekuelewa baba v nitawapaje hao watu
Du hii balaa Na ukaguzi wa manyang'au angalia mjini hapa mapapa wasije wakajibebea. Hahaha
Karibu sana mgeni! Karibu kwenye chumba cha ukaguzi!
Hapana bado mwanafunzi
Usipofuta hii kauli naripoti Abuse!
Anzia kwangu! nikukague! vua viatu..sorry njoo nikufanyie ukaguzi kwa pembeni!
hapa macho ni mengi.
Mimi ni msikivu kama serikali ya CCM si umeona malaliko kidogo tu nimefuta kauli
Sasa usikilize na wito wa kwenda kukaguliwa tena!
Usihofu! Nipo kwaajili yako!
Acha anizoee mm
ushaanza ukaguzi