Hodi

Kukaguliwa ni lazima na hakuna option ya kuchagua mkaguzi!

Mbona ulisema wewe ni mtiifu!?

Hahaha sasa njoo wewe nikukague sasa nipo Na vifaa vyangu vua viatu mkanda kofia Na koti kazi ianze hapa ukaguzi hazarani
 
Hahaha sasa njoo wewe nikukague sasa nipo Na vifaa vyangu vua viatu mkanda kofia Na koti kazi ianze hapa ukaguzi hazarani

kama wewe ni ke njoo kwangu fasta ila kama ni me mwone Madame B. Usije na kifaa chochote maana tupo full!

Tambua tu kwamba kukaguliwa ni lazima!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom