hodi

hodi

Ni mawili aozee segerea ama kifungo cha ndani,yaani haruhusiwi kutoka nje ya nyumba ya wazazi wake mpaka maisha yote,chezea kesi ya uhaini wewe,yaani anashirikiana na al qaida? Boko haram?M23?

Umpeleke segedance mwanaume mwenzio kwa kukusaidia kazi !?? utakuwa sio muungwana, muungwana ulitakiwa umshukuru sana
 
Ivi wewe na Madame B mumeishia wapi? au umeamua kumpiga kibuti eeeh

We manoah Yaani mimi Madame B, nipigwe kibutiiiiiii.........!!!!!!!!!!!!!??????????
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuu.........................
Hapa Mume wangu Chimbuvu hapindui wala hageuzi, nimemkoleza na mambo ya Kimtandao wa Pwani.
Anakula anachotaka, Anazama na kuibukia popote pale penye uwazi.........
LOL......
 
Last edited by a moderator:
Afu naskia umechoka mbaya dogo, afu eti ni kweli safari ya tanga imeanza kutoa uthibitisho wa kazi ya King Mswati VII Arushaone kwa Madame B ??? ni kweli kwamba bajeti ya ndimu na udongo wa pemba imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 170 ?? , je ni kweli kuwa harufu ya samaki wabichi imepigwa marufuku nyumbani kwako, lete majibu

Ushawahi kusutwa................
Jaribu.
 
Tobaaaa hapa nasikia harufu ya zambi
We manoah Yaani mimi Madame B, nipigwe kibutiiiiiii.........!!!!!!!!!!!!!??????????
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuu.........................
Hapa Mume wangu Chimbuvu hapindui wala hageuzi, nimemkoleza na mambo ya Kimtandao wa Pwani.
Anakula anachotaka, Anazama na kuibukia popote pale penye uwazi.........
LOL......
 
Last edited by a moderator:
Madame B kwani kwenye mwili wako kuna sehemu ngapi zina uwazi? ambazo mkongo ana weza zitumia eeeh! Hapo limkongo bichwaaa hiloo

Jana usiku tulivoenda kulala pamoja kwani Uliziona sehemu ngapi zenye uwazi?
Maana jibu unalo.
 
Upepo tu utapita, mie mbona nilila shimo la udongo.... Bwana karibu hapa karibu karibu tupate ulimi wa mnyama
Jana usiku tulivoenda kulala pamoja kwani Uliziona sehemu ngapi zenye uwazi?
Maana jibu unalo.
 
Tena hizo ni zambi nyeupe kama theluji lol!

dont-play-with-sin1.jpg
 
Back
Top Bottom