hodi

hodi

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,604
Reaction score
872
niaje marafiki! Nimekua nikipita na kusoma comments za watu bt since now nimeamua kua active member wa chit chat.
 
Karibu CC...kama una tatizo lolote la kifedha usisite kuniandikia barua...
 
hahahaha.....haya bana,kwangu utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedha
 
Karibu sana mtengwa, huku huto tengwa!

Karibu white party

niaje marafiki! Nimekua nikipita na kusoma comments za watu bt since now nimeamua kua active member wa chit chat.
 
Last edited by a moderator:
Hapa unatupa shida kulee unaweka mikono juu unabanjuka tu. Maisha yenyewe mafupi haya rafiki yetu. Karibu sana CC mkuu.
 
Wana upungufu wa mabinti majukwaani kwao

Afu naskia umechoka mbaya dogo, afu eti ni kweli safari ya tanga imeanza kutoa uthibitisho wa kazi ya King Mswati VII Arushaone kwa Madame B ??? ni kweli kwamba bajeti ya ndimu na udongo wa pemba imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 170 ?? , je ni kweli kuwa harufu ya samaki wabichi imepigwa marufuku nyumbani kwako, lete majibu
 
Last edited by a moderator:
Umezitoa wapi hizi habari? mbona asubuhi nimeota wanaenda kusali
Afu naskia umechoka mbaya dogo, afu eti ni kweli safari ya tanga imeanza kutoa uthibitisho wa kazi ya King Mswati VII Arushaone kwa Madame B ??? ni kweli kwamba bajeti ya ndimu na udongo wa pemba imeongezeka kwa asilimia zaidi ya 170 ?? , je ni kweli kuwa harufu ya samaki wabichi imepigwa marufuku nyumbani kwako, lete majibu
 
Last edited by a moderator:
Mi nakuomba urudi toka huko mafichoni kwa sababu ukichelewa utakuta kijana wako wa arusha anaozea segadance aka segerea

Umpeleke segedance mwanaume mwenzio kwa kukusaidia kazi !?? utakuwa sio muungwana, muungwana ulitakiwa umshukuru sana
 
Back
Top Bottom