hodi

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,368
5,512
hodi.. hodi nyumba hii.... mimi ni mgeni eneo hili naomba mnikaribishe kwani mimi ni ndege mtulivu nisiye na matata nimeruka toka MOA, MANZA BAY NIKAFIKA TANGA MJINI , NIKARUKA MPKA HUKU UGHAIBUNI , SASA NIMEKUJA HAPA nnasalamu zenu nataka nizifikeshe nipeni mtama na maji niywe kwanza .. bado ningalipo hapa mlangoni naomba mnifungulie ... jamanii:)
 
Attachments

  • hodi.jpg
    hodi.jpg
    3 KB · Views: 78
hodi.. hodi nyumba hii.... mimi ni mgeni eneo hili naomba mnikaribishe kwani mimi ni ndege mtulivu nisiye na matata nimeruka toka MOA, MANZA BAY NIKAFIKA TANGA MJINI , NIKARUKA MPKA HUKU UGHAIBUNI , SASA NIMEKUJA HAPA nnasalamu zenu nataka nizifikeshe nipeni mtama na maji niywe kwanza .. bado ningalipo hapa mlangoni naomba mnifungulie ... jamanii:)
Una salamu zozote? Karibu sana!
 
nina salaam nyingi sana nilizopewa kufikisha hapa.. sijui hata nianze wapi.. ila kwa ujumla mnasalimiwa saaana.... na muwapendao na wawapendao
 
Njiwa karibu sana ndani ya JF, The Home OF Great Thinkers-Where We Dare to Talk Openly.
 
hodi.. hodi nyumba hii.... mimi ni mgeni eneo hili naomba mnikaribishe kwani mimi ni ndege mtulivu nisiye na matata nimeruka toka MOA, MANZA BAY NIKAFIKA TANGA MJINI , NIKARUKA MPKA HUKU UGHAIBUNI , SASA NIMEKUJA HAPA nnasalamu zenu nataka nizifikeshe nipeni mtama na maji niywe kwanza .. bado ningalipo hapa mlangoni naomba mnifungulie ... jamanii:)

....karibu sana ndege mwanana.
ingawa napenda sana kula nyama ya njiwa lakini haswa haswa njiwa wa kike. hebu nijuze jinsia yako ili labda nirejeshe kisu alani.
ops karibu pita ndani kwanza
 
hahaha , ahsante msanii! nimepita ndani, mimi kaka ni njiwa dume tafadhali hicho kisu kirudishe! akhui wangu..
Nna salaam zenu toka kwa maboss wa DECI katika rukaruka zangu mmoja wao akanipa salamu akasema "wapesalamu wanajamii kwamba watanzania msipende utajiri wa haraka na wa dezo dezo toka lini pesa ikazaa bila jasho??"
 
Ah! Watu hawakuwa na mashaka yoyote bwana, kwamba eti UTALIWA?! Wamefuata ushauri wa raisi wao, aliyewahi kusema "lazima uliwe kwanza" :)

Karibu jamvini. Nice introduction by the way!
 
LazyDog, si yametimia mkuu! kwi kwi kwi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom