M Mzaa chema Member Joined Nov 11, 2010 Posts 20 Reaction score 0 Nov 13, 2010 #1 Nilikua nafuatilia jf kwa karibu, imenipendeza nijiunge, ila wadau, mnanishauri nianze na topic gani inayopendwa humu😎
Nilikua nafuatilia jf kwa karibu, imenipendeza nijiunge, ila wadau, mnanishauri nianze na topic gani inayopendwa humu😎
TUNTEMEKE Platinum Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 581 Nov 13, 2010 #2 Tupo kisiasa zaidi mpaka jk atakapo maliza mda wa uwozo wake.
M Mzaa chema Member Joined Nov 11, 2010 Posts 20 Reaction score 0 Nov 13, 2010 Thread starter #3 politics is a dirty game dont get involved 2much. for your health
YeshuaHaMelech JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,596 Reaction score 38 Nov 13, 2010 #4 Karibu! Anza na Majukwaa ya Elimu, Sayansi na Tech, Sheria!
M Mzaa chema Member Joined Nov 11, 2010 Posts 20 Reaction score 0 Nov 13, 2010 Thread starter #5 Thanks yeshua for warm welcom, nimeigia hapa jf naona watu wamelewa chakari, pombe mbaya sana ya POLITICS.mpaka wanacora ramani (wanapepesuka) What the hell is this !
Thanks yeshua for warm welcom, nimeigia hapa jf naona watu wamelewa chakari, pombe mbaya sana ya POLITICS.mpaka wanacora ramani (wanapepesuka) What the hell is this !