Hodi wenye nyumba!

Hodi wenye nyumba!

Magreat thinker nawashukuru,
Jamvini kunikaribisha,
Ukarimu mmenionyesha,
Ujasiri kunitia.
Jf nimepokelewa,
nyumbani kujisikia.
 
Back
Top Bottom