hodi waungwana

hodi waungwana

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,462
hodi hodi wenye chit chat,nipo ndani ya nyumba
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni kwa ukarimu wenu,sasa weekend hii karibuni sana pale nanii tupate moja baridi moja moto
 
Hata hivyo hapa three quator si waungwana!
Waungwana tupo hatupungui 10 tu hivi !
The rest hamnakitu, Bishanga waweza mwita muungwana?
 
Last edited by a moderator:
karibu ila kama ni mchawi usitupe tunguli zako onana na....................
anapenda sana ayo majamboziiiiiiiiii
 
karibu ila kama ni mchawi usitupe tunguli zako onana na....................
anapenda sana ayo majamboziiiiiiiiii

nitakuja singida kukutembela ummu kulthum ,upo mtaa gani vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom