Kwa heshima na taadhima, nabisha hodi kwenu wanaJF, namshukuru mwanaJF mwenzenu MpigaKelele aliyenihabarisha habari za JF na MMU wanavyowezesha kupata unachokihitaji. ni matumaini yangu kuwa tutashirikiana kwa kila hali. Ahsanteni
karibu sana mkuu ila kuna dada zetu humu hamkawii nyie ma Non-Celebrity kuutafuta huo u-Celebrity mara oooh!!!natafuta mke sijui nini nini!!! teheteheteheteheee!!!