Hodi wanajamii

Hodi wanajamii

Nkanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
653
Reaction score
623
Kwa takribani miaka miwili sasa nimekuwa nikitembelea jukwaa hili kama mgeni, sababu zipo nyingi ila kubwa ni ugumu wa mawasiliano ya intanet kwa maeneo niliyokuwa mwanzo.....pamoja na ugumu huo nimekuwa nikipata muda kiasi kuchungulia yanayojiri jukwaani na hapa nikiri kuwa nimejifunza, nimepata habari na kuburudika kwa nyuzi mbalimbali toka kwa wanajamvi mbalimbali! Hakika Jamii forum ni zaidi. Kwa utambulisho huu naombeni nipokeeni!
 
Karibu sana jamvini, umepokelewa kwa mikono miwili..
 
Back
Top Bottom