Hodi wana JF

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,756
2,000
karibu sana kaka miye. angalia kuna mtu anaitwa paw,ukitumia lugha kali kupita kiasi atakuparua na makucha yake.
 

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,329
2,000
Ili usiingie katika anga za Paw, soma sheria na kanuni za jf kwa umakini. Karibu sana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom