Jayfour
Senior Member
- Feb 20, 2011
- 114
- 11
Mimi ni mwanachama mpya ktk familia hii ya jf ambayo imevutia sana na kuamua kujiunga nayo. Jf inanipa habari latest na za kweli ambazo siwezi kuzipata kwingine. pia wana jf ni werevu kiasi kuwa unaposoma threads zao unatoka na kitu. Vilevile majibu ya maswali yote yanapatikana hapa. Naomba mnipokee!