Hodi wana jamii!

gunasoljer

Member
Oct 21, 2014
28
17
Nimekuwa nikisoma na kujifunza mambo mbali mbali hapa jf kwa kipindi cha muda mrefu sasa. Nakaona huwa nakosa mambo mengi nikiwa sijajiunga, hi yo Leo nimeona nijiunge rasmi. Naombeni mnipokee.
 
pita karibu mpaka jukwaa pendwa MMU humu hakuna matumizi ya Facebook Yale kwenye s ukaweka xx uta.........
 
Oooh karibu karibu sana huku kuna mengi ya kujifunza,pia nakushauri uwe mvumilivu kuna saa panakera lakini penye wengi pana mengi
 
karibu sana,humu ndani kuna sehemu maarufu sana inaitwa PM wadau watakuita uwatembelee pm usiogope.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom