Hodi Wana-Chit Chat

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,211
Reaction score
13,052
Jamani nikaribisheni, manake najihisi nimekuwa mgeni humu....

Nimekuja na zawadi kwa ajili yenu pia.

Hii ni kwa ajili ya akina Dada/Mama wapenda Fasheni..


Hii ni kwa ajili ya wote.


Mapendo.
TANMO
 
Hahahahaha
Karibu
Asante kwa zawadi ila zina utata..!!
 
Bonge la style mbona watapendeza sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ulienda wapi ww au ulikuwa kwenye honeymoon kimyya kimya.
 
Naona sasa udaku umepata ripota...
 
Hahahahaha
Karibu
Asante kwa zawadi ila zina utata..!!

Asante wangu. Zawadi zina utata gani tena?

Wooow! Thanks, karibu sana sana!!
Asante Mpendwa..

waoooooo jamani lovely pacha..... Happy to see you! Habari za utokako? Karibu sana sana
Pacha nilikumis kweli yaani.. Nitokako kwema kabisa Pacha... Tena nimekuja na Sapraiz kwa ajili yako

Ulete na hesabu za gazeti letu la udaku.
Mkoba wa JF Udaku niliukabidhi kwa Bishanga akisaidiana na Baba V na Elizabeth Dominic. Kama Wamechakachua Fungu kwa kweli sifahamu..


ulienda wapi ww au ulikuwa kwenye honeymoon kimyya kimya.
Nilikuwa nimefichwa wangu,, acha tu

Naona sasa udaku umepata ripota...
Copy: Bishanga, Baba V na Elizabeth Dominic.

Huyu Ndio mdaku mkuu.... karibu

Mkuu umekosea, Mdaku Mkuu ni Bishanga Abashaija A.k.a Bepari la Kihaya, a.k.a Bilionea wa Chit Chat
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiki Kibabu bado kipogo tu?
Mikoba ya Ukaguzi kimeshakabidhi kwa Vijana au Bado kinang'ang'ania Madaraka?



Kibabu kidikteta sana hik,i kimeshajizeekea hata kazi imekishinda lakini bado kimeshikilia mikobatu,Afadhali hata Filipo wa Arusha aliyejiamulia kuwa mkaguzi bila kukabidhiwa mikoba ya ukaguzi..
 
Last edited by a moderator:
Kibabu kidikteta sana hik,i kimeshajizeekea hata kazi imekishinda lakini bado kimeshikilia mikobatu,Afadhali hata Filipo wa Arusha aliyejiamulia kuwa mkaguzi bila kukabidhiwa mikoba ya ukaguzi..

Na vile kila kukicha wanajiunga Mamanzi wasupuu, basi tusubiri kusikia hiki Kibabu kimefia "Ukaguzini"
 
Kibabu kidikteta sana hik,i kimeshajizeekea hata kazi imekishinda lakini bado kimeshikilia mikobatu,Afadhali hata Filipo wa Arusha aliyejiamulia kuwa mkaguzi bila kukabidhiwa mikoba ya ukaguzi..

Salaam kwako mt. Nyau mweusi
 
Last edited by a moderator:
Mkoba wenyewe unatisha
Hivyo vingine sijui ni pipi kijiti, au ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…