mawazo mgando kama mtindi maana hauyeyukiccm baba wa demokrasia ,imeilinda nchi hii toka mwaka 1961 kwa amani ndio maana hata wengine wanapata nafasi ya kufanya upinzani leo.laana kwa wanaokejeli kuwa ccm ni mkoloni wanataka ukombozi,ukombozi gani?nadhani know how hakuna kwa aina hii ya watanzania.badala ya cdm kuwafunza elimu ya uraia,imekalia maandamano yasio na tija kwa taifa.hii ni nchi yetu sote, cdm mnatakiwa kuungana na watanzania wenzenu kupambana na adui njaa,maradhi na umasikini,tunaongozwa na katiba moja ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.ni kweli kuwa hamulielewi hilo?
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.
Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi
.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Sasa sis majo ushapatiwa kadi? Halafu utunze kitambulisho chako chakupigia kura vizuri.
Usisahau kumwambia baba nae hii nisaa ya ukombozi arudi kundini.
sis majo karibu sana kwenye nuru ya walionyimwa nuru, naomba nikunong'oneze jambo: huku sio lelema hakika vita ni kubwa penginze zaidi ya goliathi na daudi, ndio maana tunaitana makamanda na tunavaa kompati kama ishara ya jeshi dogo na kubwa la ukombozi
CDM hawana dola physically ila wanadola mioyoni mwa wazalendo wa taifa hili,
Karibu sana!!!!
Mungu tazama taifa letu linavyotawaliwa kishetani ,tunaomba Baba utukufu na uweza wako utuangazia nuru ya amni na upendo kati yetu ili tukalisifu jina lako kwa upendo. tunajua ya kuwa baba wewe ndio muweza wa yote na hakuna linaloshindikana kwako. Imeandika baba hakuna mzazi mtotoe akimuomba sukari atampa chumvi. Tunaomba baba utupe nguvu na uweza wa kuweza kulikomboa taifa letu kutoka katika mikono ya wanyang'anyi. MUBARIKI HUYU DADA AWE MUKOMBOZI KWELI WALA ASIWE KAMA PETRO . AMINA
nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa
Jihadhari na watu wanaoligawa taifa katika misingi ya udini, ukanda na ukabila!!!... Usivunjwe moyo na hoja za watu hawa.. Amini usiamini wanalipwa pale LUMUMBA kufanya kazi hii!!!...
kumbuka uamuz uliofanya magamba povu linawatoka,hvyo uwe mlinzi wa meno,kucha,macho pamoja na roho yako. maana hawa jamii c kitu kuviondoa hvyo viungo vyako ili baadae waseme chadema. unamkumbuka aliye chinjwa usa river?dr.ulimboka? kadhalika na kibanda? unafahamu kwamba mwangosi imebaki historia? na je,kuna mhusika aliyehukumiwa? ukiuliza watasema bado upelelezi haujakamilika pamoja na kuwepo matukio yenye ushahd wa picha. ili kufahamu kwamba serikali inaratibu hayo matukio linganisha ni kifo cha kamanda baro ambapo ndani ya siku saba wahusika walijulikana. mimi kwa sasa ningependeza kila mtu atembee na mpiga picha kwa ajili ya ushahd pale policcm watakapoamua pengine kukumwangosi amb kukuulimboka. ni hayo tu mdogo wangu! take care and welcome home@cdm@
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.
Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi
.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Karibu mungu azidi kukuongoza ktk mema.
Siyo lazima uende CCM kuna vyama vingine vingi tu. CUF,UDP, Chausta nk nk. Tumia akili yako kwa ukamilifu pata habari ya vyama vingine ndiyo uamue. Nani kakwambia CDM ni chama cha watoto wakulima?? Tuliza akili bora ubakie kuwa shabiki tu wa CDM kuliko kuingia uananchama wa chama ambacho hujapata taarifa zake muhimu :A S shade:nn maana ya siasa?siwezi rudi nyuma trust me ntajifunza ntasimama ila kwa mtoto wa mkulima kama mimi ccm si pangu
Sijamaliza ndiyo maana si mwanachama wa chama chochote. Kama nawe umeingia uanachama kwa sababu ya kufuata upepo tu hujaitendea haki akili yako uliyopewa. Bora kuitwa shabiki kuliko kuitwa mwanachama usiojua chochote kuhusiana na chama chako:A S shade:wewe umesma vyote hvo au unapga filimb t
Khaa!! mie nimempa mwelekeo mzuri wa kufanya maamuzi mazito kama hayo. Sasa kuhusu mimi kama nafuatilia hivyo inakuhusu nini wewe? kama nafanya zaidi ya hivyo? Dont judge me.. judge my ideas!!!!:A S shade:Wew umefuatilia hivyo vyote kwa huko uliko?
usiwe na papara kuwa shabiki tu kwanza kisha anza kujifunza ndiyo ufikie uamuzi. Ukifanya uamuzi wa harakaharaka leo utaitwa kamanda, jembe, mpini nk lakini kesho utaitwa majina kama kilaza, dada poa wa kisiasa nk nk. Nenda kaulize wenziocna pa kurudi kwan ndo nimeamua kuwa chadema.kwan ckuwa mwanachama wa chama chochote
kwanza kabisa ni binti ambaye nlikuwa sifuatilii mambo ya siasa.mwaka 2010 kidogo kupaa kwa cCHADEMA hakukunifanya niipende CHADEMA ila nilipenda tu slaa awe raisi wa nchi yangu.hivyo kwa mara ya kwanza nikapanga foleni kupiga kura.
Sikupiga kura sababu ya kuipenda CHADEMA bali sababu nilipenda slaa awe raisi.na baada ya slaa kutoingia ikulu nikarudi kuwa raia wa kawaida asiyejua taifa lake linakwenda wapi
.Ndipo katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na jamii forum na nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazohusu siasa pia na kuona mengi yanayoihusu CHADEMA na CCM. kwa kweli leo nimeamua kuwa mguu sawa CHADEMA kwan nimeona kwa ccm kutumia muda mwingi kuichafua CHADEMA chama ambacho hakipo madarakan na wao kuacha kutupa tathmin ya nn wametufanyia hadi leo hii zaidi ya maisha bora waliyotuahidi kuwa bora maisha nimewaza nimeona CCM inacheza na akili za watanzania.....kama mwanamke ninayejitambua sasa nimeona niweke miguu yote CHADEMA mimi na familia yangu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.
usiwe na papara kuwa shabiki tu kwanza kisha anza kujifunza ndiyo ufikie uamuzi. Ukifanya uamuzi wa harakaharaka leo utaitwa kamanda, jembe, mpini nk lakini kesho utaitwa majina kama kilaza, dada poa wa kisiasa nk nk. Nenda kaulize wenzio
nenda uwe gaidi baada ya rwakatale na upewe dili la kuua kwa stmu kama ben saanane na ujifunze kuwa kigeugeu kama slaa