M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Nimeamini kuwa ukiwa nje ya JF kwa muda mrefu kidogo inakuwa kama upo jela,humu ndio "uraiani" kwangu, nilikuwa nimekuwa banned kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa kosa la kumtaja jina "bi kiroboto".,kuweni makini mtu usiombe ukapigwa ban humu wakati ulishapazoea ni kama umewekwa jela vile.