So wats ur poison
So wats ur poison
Jamani kwani mie ndio nilianzisha mambo ya kulana....mbona mnataka kunisingizia jamani😂😂😂😂😂Yani mzabzab ashatia timu uzi ushabadilika ushakuwa wa kulana
Kuna watu wamekuwa supplier wa Samaki ghaflahivi nacheka nini lakini





Nikienda mwanza utanipa no auntie ujue nina safari ya mwanza maswali sitaki








Nakusalimia Mzee mwenzangu...Sema tu unacheka nini tucheke wote, au kama unanicheka nijue kabisa![]()
Vitu avipendavyo Eroni...Naleta unapokea na kushukuru, napanda bodaboda na kugeuza ninapotoka...![]()
Na huu uzee unadhani zaidi ya kukabidhi mzigo nitaomba hata juice kweli![]()








SawaNaka...Njoo inbox utawapata
Unaposema "mzee mwenzangu" unamaanisha wewe una uzee wangu? 🤣Nakusalimia Mzee mwenzangu...
Ukiacha uchokozi wako nitazidisha mapenzi yangu kwako😅😅😅😅Kuna watu wamekuwa supplier wa Samaki ghafla
Nicheke kwanza![]()
Nimekamatwa nimekamatika...
Ka kaka kapooole
Kasauti kake tu mie hoiiiii
Ntakahonga shamba la urithi ujue..



Dah!!!Ukiacha uchokozi wako nitazidisha mapenzi yangu kwako![]()








Umri unaenda Mzee Mwenzangu....Unaposema "mzee mwenzangu" unamaanisha wewe una uzee wangu?
Acha kunichoea basi we binti![]()

Hahaha, haya binti!Umri unaenda Mzee Mwenzangu....
Kuna mambo yanakuja, kuna mambo yanaondoka
If you know... you know
Ha ha ha ha...Hahaha, haya binti!
Yamekuja yapi na yapi yameondoka.

Mimi najua yamekuja mapya mazuri na yameondoka mabovu ya zamani..😀😀Ha ha ha ha...
Ndiyo niseme Public namna hii kweli Eroni?
Privacy ni muhimu We'Mzee![]()