S sipnah Member Mar 22, 2016 24 50 Mar 22, 2016 #1 Naitwa sipna. Msichana, umri 25. Naishi dar es salaam. Nimefurahi kujiunga na familia hii ya JF. Asanteni Sana.
Naitwa sipna. Msichana, umri 25. Naishi dar es salaam. Nimefurahi kujiunga na familia hii ya JF. Asanteni Sana.
M mbombo mte JF-Expert Member Nov 25, 2014 713 197 Mar 22, 2016 #2 sipnah said: Naitwa sipna. Msichana, umri 25. Naishi dar es salaam. Nimefurahi kujiunga na familia hii ya JF. Asanteni Sana. Click to expand... KARIBU BINT!!!!!!!!!!!!!
sipnah said: Naitwa sipna. Msichana, umri 25. Naishi dar es salaam. Nimefurahi kujiunga na familia hii ya JF. Asanteni Sana. Click to expand... KARIBU BINT!!!!!!!!!!!!!
Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 31,118 13,083 Mar 22, 2016 #4 krb sana mjukuu wetu ufaidi mambo GT....
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,242 4,167 Mar 22, 2016 #6 afadhali wasichana mnaongezeka kila siku
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,112 Mar 22, 2016 #7 Umejikinga ? humu kuna wazuri,wanafiki, wachawi,wema na wabaya... Karibu sana sipnah
S sipnah Member Mar 22, 2016 24 50 Mar 22, 2016 Thread starter #8 Asante sana mbombo mte said: KARIBU BINT!!!!!!!!!!!!! Click to expand...
S sipnah Member Mar 22, 2016 24 50 Mar 22, 2016 Thread starter #9 Yes mgeni mie a.rahabu said: Kumbe nawe mgeninkama Mimi Click to expand...
S sipnah Member Mar 22, 2016 24 50 Mar 22, 2016 Thread starter #10 Zamiluni Zamiluni said: Umejikinga ? humu kuna wazuri,wanafiki, wachawi,wema na wabaya... Karibu sana sipnah Click to expand... Asante kwa kunijulisha..tuko pamoja
Zamiluni Zamiluni said: Umejikinga ? humu kuna wazuri,wanafiki, wachawi,wema na wabaya... Karibu sana sipnah Click to expand... Asante kwa kunijulisha..tuko pamoja
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 264 Mar 22, 2016 #11 Karibu sana jf kituo cha maraha. Humu kuna vibabu kama akina sisi, vibibi, vijana wenzako, kiufupi tu karibu kwenye ulimwengu wa watu wa kila aina.
Karibu sana jf kituo cha maraha. Humu kuna vibabu kama akina sisi, vibibi, vijana wenzako, kiufupi tu karibu kwenye ulimwengu wa watu wa kila aina.