Budha mytrea
Member
- Dec 14, 2019
- 42
- 50
Naomba kukaribishwa humu,naamin nitapata mawazo tofauti na kuona busara tofauti tofauti humu!hod members
Nitoe tongotongo apoo chagizo ndo niniKaribu sana JF.. Uko sehemu sahihi kwa chakula cha akili na chagizo za kupanua ufahamu
Jr[emoji769]
Rekebisha uandishi.
Hayo ndio mawazo tofauti ninayoweza kukupa. KARIBU!