Hodi kundini

sanyumba

New Member
Oct 16, 2011
4
0
Hii naomba kukaribiswa kundini,nilikuwa ninatafuta habari za ukulima bora wa mahindi kwenye google,ndipo nilipokutana na na ndugu bennet ambae maelezo yake kuhusu ukulima bora wa mahindi yamenisisimua sana.Hivyo basi badala ya kupitia google nimeona bora watu kama hawa niwafate huku huku kwenye maskani yao.
 
Back
Top Bottom