Hodi kundini

Elongo Junior

Member
Apr 21, 2018
55
29
Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi.
Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi.
Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi.
Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi.
 
Back
Top Bottom