Hodi JF

Hodi JF

karibu sana
ila kumbuka kuwasiliana na invisible akupe rules
 
unatokea wapi weye? kama nimeshawahi kukuona sehemu fulani vile? nadhani ni pale maeneo ya jengo la umoja wa vijana ukiwa umepiga viwalo vya rangi ya Yanga.Au nimekufananisha?
 
karibu sana usisahau kujiandikisha kwenye kitabu cha wageni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom