petersonchris
Member
- Feb 14, 2017
- 25
- 10
Ndugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
yah ndo picha yangu mkuuNdio picha yako hiyo kwenye avantar
Akijua atatoa na ata change user nameKaribu Dr
Ni swala la muda tu.Akijua atatoa na ata change user name
It's the matter of timeNi swala la muda tu.
Yap.It's the matter of time
Dar sehem gani? Me mwenyewe niko darKaribu Dr
Dr - Doctor... Vipi tena?Dar sehem gani? Me mwenyewe niko dar
Karibu sanaNdugu wana JF nawasalimu katika jina la Mungu. mimi ni member mpya kabisa humu ndani, ni matumaini yangu kuwa mtanipokea na natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu. asante.
hapana chezea jfKaribu mkuu hapa ndio Jf kila mtu kafika chuo na anadegree!
Vp unaelimu gani
Rusha nyingine bhana ya muonekano mzuri hii haikutoi vizuriyah ndo picha yangu mkuu
Naenda kusemaaaaNakuomba badilisha picha na tafuta jina lingine,naomba tumia jina la **kond*