Hodi jamani ndani ya jukwaa

Karibu sana....
Jina lako linanikumbusha rafiki yangu wa zamani nikiwa Ilboru sec.
 
Asante wangu,ilboru nakujua natoka pande za ngara Ar,ila ckusoma ilboru
 
Your wish is our command.. You are not alone...

Karibu and enjoy...
 
Karibu sana chalii yangu
mimi natokea unga lelo chalii yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…