Hodi Iringa....

Ha ha haaa nipo Miami ni pazuri sana! Nyama choma ya ukweli na muziki murua!
 
Karibu Mgeni japo mwisho wenyewe wa wiki umeishaanza toka jana
 
Ni wa pili kwa ukimwi Tanzania chukua tahadhari
 
Karibu sana YNNA! Vipi ushafika? Am dying to see u.
 
Ni wa pili kwa ukimwi Tanzania chukua tahadhari

Hivi JF members hukutana kwa ngono tu? Loooo hamna sharing nyingine yoyote zaidi ya sex. Wasikutishe mwaya tutakupokea Kama mwanafamilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…