Hodi humu

Jf ingekuwa inalipa kuna watu wangewehuka, hivi tu ni bure tunapoteza mda humu ila kuna njemba hazilali kwa kutafuta kuonekana, mkuu wewe ni zakayo tu, hadi yesu apite ndio atakuona🀣
 
Maubunifu tu mkuu
Unaniahidi utadumu kwenye hii ID ama pindi ile ya 'Gunner11' ikifunguliwa kutoka kwenye ban utarirudia kama ilivyoada?

Kula kabisa kiapo 😎
 
Karibu sana JF Kuwa makini tu pia fuata sheria na vigezo

Enjoy!
 
Kwa mwandiko wake huyu sio gunner, huyu anaonekana hata kingereza hajui.

Gunner yeye ana tatizo kubwa moja la kuchanganya Kiswahili na kingereza a.k.a kiswanglish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…