Hodi humu

Wakuu kwema...?
Nimeipenda sana JF
Karibu sana ,sema umekuja wakati mbaya ,yule bwana wa kuitwa chiwawa anatatizo la usonji hawezi kukaa dk bila kupost JF na sasa kapigwa ban kwa hiyo tunapata wasiwasi πŸ˜‚ maana jana tu katoka kumfungulia uzi Seran na leo ww umefungua ya Serin πŸ˜‚πŸ˜‚.

Lamomy sio chiwawa kweli huyu πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Karibu sana ,sema umekuja wakati mbaya ,yule bwana wa kuitwa chiwawa anatatizo la usonji hawezi kukaa dk bila kupost JF na sasa kapigwa ban kwa hiyo tunapata wasiwasi πŸ˜‚ maana jana tu katoka kumfungulia uzi Seran na leo ww umefungua ya Serin
Ka Chiwawa ni kagonjwa kale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
JF ni kichaka 😹
 
Kanifungulia uzi gani tena jmnπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…