Karibu sana.. JF ni bustali la bibi... ingia ufaidike !!Wakuu Nimeona Ni Vema Nami Niingie Humu Nijichotee Maarifa Mbalimbali Kutoka Kwenu Maana Jf Ni Kisima Cha Maarifa Mbali Mbali. Naomba Mnipokee, Asanteni.
Nyete umekaa kitaperi taperi tu
Dah....!!! Badala ya kujichotea maarifa wewe ukajichotea mahela.Wakuu Nimeona Ni Vema Nami Niingie Humu Nijichotee Maarifa Mbalimbali Kutoka Kwenu Maana Jf Ni Kisima Cha Maarifa Mbali Mbali. Naomba Mnipokee, Asanteni.