Hodi Humu Ndani

Cr wa familia

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
1,063
1,405
Salaamu

Me ni kijana wenu nimo humu kwa muda sasa ila nilikuwa sijajitambulisha naomba mfanye kama ndo mnanipokea wakuu sina mishe yoyote nnayofanya msijeniuliza kazi yangu :D ila naishi poa sana naomba pia nipate japo marafiki anyone akitaka njoo :D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom