Hodi humu jamvini

Nashkuru babu
Labda unawezaaa kuwa unafahamu second zinatoka lini labda
Unisaidie
 
Mm nimemalza elmu ya kidato cha nne mwaka jana ila first selection mwaka huu sjapangiwa na nilipata dvsn 3 ya 25 AF combination n hkl sas naona second selection zmegma kutokaa huu mwaka
 
punguza spidi dogo, karibu kwanza alafu pata kinywaji.
Hapa bwan kaka kinywajii hakiwezii kushka kooni vzrii maan najhsi mpweke maan bdo. Nahitaji kusma maan nimekaa home mpaka nimechkka kabsa
Nisaidie kunijuza katika hiloo
Kam second selection zipo au hamna
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom