hodi humu jamvini!!!

hodi humu jamvini!!!

WASIWASI

Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
56
Reaction score
43
wakuu me ndo kwa mara ya kwanza najiunga na kitengo hiki jaman naomba ushirikiano coz nmechoka kuwa guest katika jukwaa hili.
big up alll.
 
Karibu kijana wasiwasi na hapa wasiwasi upunguze jamvi ndio hilo ukalie wakubwa wanakuja wapate kukupa sheria za JF.
 
karibu sana
usishike tama basii....

dahhh
halafu umenikumbusha
ni mwisho wa mwezi
asantee..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom