Hodi hodiiiiiiiiiii

Emecka

Member
Jul 17, 2012
75
27
Hodi hodi humu ndani,
naingia kwa kishindo,
nikiwa nayo hamu,
ushauri kuupata,
naomba ushirikano,
penye makosa mnikosoe
na pia mnirekebishe,
ushauri nitazingatia,
na ushirikiano nitawapa,
asanteni!
 
Hodi hodi humu ndani,
naingia kwa kishindo,
nikiwa nayo hamu,
ushauri kuupata,
naomba ushirikano,
penye makosa mnikosoe
na pia mnirekebishe,
ushauri nitazingatia,
na ushirikiano nitawapa,
asanteni!

Nimekukubali malenga.
 
Karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana, tunategemea kupata mashahiri zaidi ya hayo.
 
asante ndugu zanguni,
kwa kunipokea mwenzenu,
ushirikiano nitawapeni,
hasa kwenye post zenu,
na zangu msinibanieni,
kwan mi ni ndugu yenu,
JAMII FORUM JAMANI,
HAKIKA HAINA MPINZANI...
 
itabidi nikutafute unipe mashairi live live nione umahiri wako! unatishaa!!!
welcome jf!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom